Primo Quotes

Enock Maregesi

N/A

Read more about this author on here

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa baba kwa familia yake. Kwa Tanzania alikuwa mlezi; wa ndoto ...

View quote

Baada ya Adam na Hawa kutenda dhambi katika bustani ya Edeni, kila mtu anayezaliwa anazaliwa katika ...

View quote

Mandela alikuwa hodari ndiyo maana akapelekwa jela. Alikuwa mvumilivu ndiyo maana akakaa jela kwa mi ...

View quote

Mwanamke akikuomba pesa, mpe!

View quote

Maisha ni kitu cha ajabu kuliko vyote ulimwenguni.

View quote

Ni rahisi kushinda vita ya maisha na kuishi mbinguni duniani. Ni vigumu kushinda vita ya dhambi na k ...

View quote

Maisha ni kani au 'force' ya kipekee zaidi katika ulimwengu unaofahamika; achilia mbali changamani ( ...

View quote

Ukitaka kumjua mwanamke jua historia yake.

View quote

Acha alama katika dunia baada ya kuondoka.

View quote

Ukitaka kutambulika usione aibu.

View quote

Kama huwezi kumpenda mtu usimchukie.

View quote

Nimewapa watoto wangu kila kitu katika maisha isipokuwa umaskini. Lakini bado wamenishinda.

View quote

Wakati mwingine tukitaka kutambulika hatuna budi kuweka mbele aibu ya heshima yetu.

View quote

Ukiwapa watoto wako uhuru wa shaghalabaghala au uhuru wa kila kitu watajisahau! Wape uhuru wa mahesa ...

View quote

Kitu cha kwanza kufanya kama umeamua kuficha ukweli wape watu ukweli mwingine kulinda thamani ya utu ...

View quote